
Tulikuwa na furaha sana baada ya wiki kazaa crisis alihakikisha kafata taratibu zoote za kuhakikisha naitwa mke Nilifurahi sana tulifanya harusi ya kimira ilikuwa nzuri sana ndugu jamaaa na marafiki walikuja Nilikuwa tayari naitwa Mrs crisis nilifurahi sana hiyo ndio ndoto yangu Na baada ya muda mama crisis pamoja na dada yake crisis waliondoka na kurudi nyumbani Wakaniacha nikiwa na ujauzito wa mizi mitano Crisis alifurahi sana kuniona nikiwa mjamzito na kunidekeza sana Sikumoja crisis aliamua kumwambia ukweli mkewe kuwa tayari ameshanioa na ninatarajia mtoto mwengine Francesca aliumia sana na kuenda chumbani kujifungia pekeake alilia sana Alilia mno hakuwa na
0 Comments