
Tulilala hadi palikucha nilikuwa nimejiraza kifuani kwa crisis nililala vizuri sana Crisis aliposhtuka akanitizama na kuniamsha haya umeingiaje chumbani kwangu Ondoka tafadhari Kaira sihitaji kugombana na wewe ndio maana nimekuwa nakukwepa ondoka haraka Niliinuka na kumuambia kwanini tena nawakati tulisha umaliza ugomvi usiku wa jana na uliniambia unanipenda Crisis alichukia na kuniambia wapi sijaongea hivyo mimi hebu ondoka sikutaki humu chumbani ondoka haraka Nilimuambia sawa naondoka ila tulifanya na kufanya usiku ulikuwa umenimis sana uliniambia inamaana huna kumbu kumbu kweli au unanichezea akili yangu Crisis aliniambia sina huwo mpango wa kucheza na akili yako mimi nimekula mzigo usiku ? Aah
0 Comments