WHEN LOVE CHANGED HIM 18

WHEN LOVE CHANGED HIM 18

WHEN LOVE CHANGED HIM SEHEMU YA 18. FINAL "Vp tena mbona unapanga nguo?" Aliuliza Nancy baada ya kutoka kuoga "Chris amerudi na kwambia ananitafuta,ila sijui Chris yukoje jamani yani akisharudigi tu akakuta sipo haha kama nini sijui mfyuu hadi anakera" "Sasa siunge mpigia sm uangalie namna ya kumdanganya uende baada kwanza hiyo dege ya saizi utaipata " "Hapana Nancy siwez kuendelea kukaa maana nahisi atakuwa kashawaambia nyumbani na baba akijua itakuwaje kesi nzito " "Mmh haya bhn pole " Nana aliweka Kila kitu na kutoka "Mfyuuu eti ndoa subiri tuone kama utamaliza mwaka ukiwa na Chris labda nisiwe Nancy ila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments