
WHEN LOVE CHANGED HIM S2 SEHEMU YA 19 TULIPOISHIA Naomba Kidogo tu mke wangu nimezidiwa "Chris nimechoka bwana niache nilale zangu aaaa " "Nanah tafadhali mke wangu n. "Chris niache bwana kwani hauelewi nimekwambia nimechoka sijui ukoje mxiwww" "Sawa samahani Kwa usumbufu usiku mwema, nakupenda" Nanah hakujibu alijifunika hadi kichwani TUENDELEE Usiku ulikuwa mrefu Kwa Chris alihangaika sana Hadi kupata usingizi mda ulikuwa umeshaenda sana, asubuhi Nanah alikuwa wakwanza kuamka akajiandaa na kuondoka akamuacha Chris Bado kalala Akiwa njian Ray alimpigia sm akapokea Kwa furaha kama vile ilikuwa sm ya Hela "Hello Ray mambo" "Poa darling uko wapi" "Niko njian
0 Comments