A TOUR TO REMEMBER 11

A TOUR TO REMEMBER 11

Hayo yote Tisa Kumi ule mtembeo wake kama wale Model wanapo kuwaga kwenye maonyeeho, Afu kuna limwanamke limekaa kusema mi simpendi huyu kaka mfyuuu Hivi kuna mwanamke ganiiii ,ambae havutiwi na huyu kaka naniiiii?? Nilipatwa hasira baada ya kumuona Edda anakuja mbio upande wa karim yaan huyu dada nyie ,sijaambiwa kama anajipendekeza ila mi naona anashoboka sanaa mana unakuja yeye anaongea maneno mia karimu asijibu hata moja afu mbele za watu mfyuuu basi mi nachukiaa basi tu Wakaja wanaingia kwenye bot hakuna mtu ambae hajatupia jicho kwa karim nasema hakuna kila mdada alimtazama hata kwa kuiba tu "Karim nipo hapa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments