KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 35

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO   35

Nilikua Kama mwendawazimu,nilichanganyikiwa sikujua kama Dickson angeweza kuniacha. Dick kwa nn,nililia sana,nilishangaa ety wanakuja na kuniambia kuwa ni ndugu wa Dick na wanataka urithi,nilishangaa sana maana hata hatukuwa tumemzika mume wangu na pia Dick alishanambia hana ndugu kwa maana sikuwah kuona ndugu yoyote wa Dick zaidi ya Marry na mume wangu alinambia alitelekwzwa na ndugu zake na ndio maana aliishi maisha ya shida. Tulizika vizur na nilishangaa maana walikuja Ndugu wengi Sana wa Dick kwenye msiba. Mwisho wakataka mirathi akaja mwanasheria wa familia nikashangaa kagawa mali zote kwa Dick kwa ndugu zake,mimi ety niliandikiwa kiwanja kimoja tena kidogo na nyumba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments