A TOUR TO REMEMBER 17

A TOUR TO REMEMBER 17

Nikamuuliza Eliza kwanini uliingizia maneno ya uongo? Kukuongopea nini? We ndo ulifanya mpango mie nije huko si ndio? Sijaelewa ujue. Nilimwambia Eliza kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyekuja huko kwa ofaa wala udhamini isipokuwa mie tu, ulinichezea mchezo. Yaan we Salma bwana ni mwehu mi ndo kwanza unaniambia hapa, najua umekuja umelipiwa kama alivyosema lecter sijui chochote. Eliza alikatisha kabisa kwa mkavu, nikasema mbona hata sielewi. Akanambia usiwe na presha si ndo tunaenda huko huko tutaenda kumuuliza ilikuwaje, mi siwezi kukuuza shoga angu kama huwataki huwataki na ukiwataka utawakubali kwa ridhaa yako wewe. Nikasema sawa. Tulifika mpaka chuo, ilikuwa kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments