A TOUR TO REMEMBER 18

A TOUR TO REMEMBER 18

Baada ya kuizima uvumilivu ukanishinda nikamuuliza huyo ni nani mbona hapokei, akanambia Salma mpenzi naona ataniharibia siku yangu, sitaki kupoteza mood nikiwa na wewe, naomba tule. Mmh nikasema sawa ila ya mdomoni tu, akilini nilikuwa tayari kuna alama nyekundu. Nikawa nakula tu mradi. Karim akaniita Salma, nilimtazama kwa hivyo hivyo yaani aah basi tu. Una hasira? Aliniuliza. Na kwanini niwe na hasira? Hii simu si... kabla hata hajanielezea kengele ya mlangoni iliita, akasita kuongea. Ililia tena kengele ikabidi niinuke kufungua. Aliingia mbaba tu hivi wa makamo, sio hata mtu mzima. Ajabu nikaona Karim amemzuia kupita, yaani wakabaki pale mlangoni. Niligundua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments