A TOUR TO REMEMBER 19

A TOUR TO REMEMBER 19

Nilitoka nikamwambia kaka kuwa yule mtu anaenifundisha anakuja, kaka akasema haina shida. Kaka zangu kitu cha kwanza walichoweka mbele ni elimu yangu, yaani chochote kile wanaona ni faida huwa hawaachi kiende buree. Nilitoa viti na meza nyuma ya nyumba yetu kama wa maana vile. Alikuja Karim mwenyewe anaogopa ogopa hatari, basi nikamchukua tukawa tumekaa kule nyuma hakuna hata cha kusoma ni stori mpaka akajikuta nae anapazoea. Muda wa kula kaka aja kutuita twende kula bwana, Karim hata hajiamini. Ila kaka angu Zack hata baba walimchangamkia mno Karim mpaka nikashangaa hakukaa kinyonge, na hiyo siku Karim alijikuta anashinda pale nyumbani tena

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments