
Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi kwa kua mtoto alinambia nitulie kwanza nimsikilizie kwanza aongee na mama yake ,kuomba ruksa ,na mimi wala sikuwa na mapepe, nikakausha tuli, na kweli baada ya kama dakika 30, irene akanipigia, nikapokea chapu, nikasema vp baby mama amekuruhusu, irene akasema hapana amagoma amenambia nisitoke nikae nyumbani, nikasema daaah basi hakuna shida ni mama ndo kasema basi sie tutaonana siku nyengine sawa mpenzi, nikasikia irene anachekaa, nikamuuliza unacheka nini sasa, akasema hapana ila nakutania bana, mama kaniruhusu vizuri, nimemdanganya naenda kariakoo, but kanmbia dada anaisindikize ,ila nitaongea na dada nitakuja mwenyewe, so kuwa na amani
0 Comments