JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 54 na 55

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 54  na 55

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Zilikuwa ni picha za mume wangu akiwa na nancy .na mume wangu alimbeba mtoto mdogo .bila shaka alikuwa ni amezaa na nancy ila mimi walichezea akiri yangu wakajifanya mtoto kafa. Aseeee niliumia sana.na moyo uliuma sana. Hii siku nililia mno .nilijiona mjinga sana kulubali kufunga tena hii ndoa .hali ya kuwa nilishaona dalili mbaya juu ya hii ndoa. Nilijionea huruma sana maskini mimi. Na moyo wangu uliuma mno. Lewis akanipigia nikapokea nikiwa nalia sana. Akanmbia pole sana mshikaji wangu. Uyu kaka hakufai vunja iyo ndoa atakuliza kila siku utakuwa wa kulia kila siku. Nisikilize mimi mshikaji

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments