NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 156

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya  156

Mwandishi; Lissa wa huru media . Mnajua nilibaki nimeshangaaa tu kwa maneno ya uyu mama ,mana kaongea maneno mazito yanayoelezea chuki yake kubwa juu yangu, akanmbia unaniangalia nn ebu nipishe nioge mie, ikabidi nitoke , nikamsubir kitandani,nilikaa pale kitandani ata akiri haisomi kabisaa, yani niliona kama vile nollan kanileta balaa wallah, ila naanzaje kuongea lolote na uyu ni mama yake ikanibidi nitukie tu, alipomaliza akanza kunita we mbwa njoo unitoe umu mm, we moumbavu, nyie nklivyo mpole mie ,nikainuka nikaenda mpaka bafuni nikachukua tauro nikampa nikamsaidia na kusimama akjifunga, na nikamsaidia kutembea mpaka kitandani, amefika kitandani, nikaenda kwenye kabati nikachukua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments