JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 49 na 50

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 49 na 50

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Nikapiga tena simu iliiita sana haikupomelewa .sikuchoka nilipiga simu tena na teana ila hakupokea kabisa. Nikajua sababu kanijua ndo aman hataki kupikea simu yake.nikahisi huenda yupo na mwanamke wake. Na ndo mana hajakuwa huru labda .basi ikabidi niache tu kumpigia .nikatuliza kichwa changu kisha nikapanda kitandani nikavuta shuka langu .ili nilale.mh nilimkumbuka james sana hii siku aswa mapenzi yake. Ni mwanaume ambaye alinipenda sana kaka wa watu ila nilimuumiza kwa mambo mengi na mimi ndo nilimkataa uyu kaka. Ila leo moyo umejuta sana na unamuhitaji zaidi. Nikawaza sana nikaona sawa nitampigia kesho basi.nikapumzika zangu . Asubuh

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments