JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 58

JAMES( KIPENZI CHA MOYO WANGU❤️) sehemu ya 58

wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Nikasema ndio baba namjua imekuwaje kwani. Akasema yani yule kijana .ana adabu na heshima sana.ni kijana mzuri sana. Yani yule kijana natamani ndo anagekuwa kakuoa.ungekuwa sehemu salama sana mwanangu.mh mbona baba anapiga pale pale kwenye mshono lakini.nikasema ahaaa baba bwana .hivi yupo eeh sijaongea nae mda sana. Nilipoteza namba zake. Baba akasema aaha anaendelea vizur na ananambiaga biadhara zake zinaenda vizur na mama yake kapona sana. Yani uyu kijana mpka namfikilia kwa ukubwa zaidi.ni kijana wa kipekeee sana. Kuna vijana apa tunawassaidiaga hamna cha maana ata. Ila uyu kijana anaonnesha ana pambana sana. Ananambia ameshanunua piki

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments