KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 27

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO   27

Dick ilikuchunga mali yake akavunja lain na kunisajilia mpya hakutaka niwasiliane kabisa na Jack na nilimuelewa. Kumbe Jack kanitafuta sana na baada ya kuona sipatikani akaanza kutafuta namna ya kunipata. Alijua nimeolewa ila sikumwambia nimeolewa na nani,sasa katika pita pita zake kumbe alikutana na mume wangu Dickson akanzaa kumuuliza kama anafahamu nilipo lakin Dick akajifanya hajaniona siku nyingi aliporud akanambia kuwa Jack kamtafuta na kamuuliza Kama anajua nilipo. Nikaona poa maana sikua na mpango nae. Kwa kuwa nilikua nafanya kazi siku moja nikiwa kazin mtu wa reception alikuja kuniambia Nina mgeni nikaruhusu aingie kumbe alikua Jack. Akaanza kunilalamikia kwa nini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments