
Chriss alienda kuchungulia dirishani, alitamani kutoka nje kuangalia lakini hakuweza hakukuwa na nguo hata moja zaidi ya taulo hakuwa na simu wala kitu chochote kwaajili ya mawasiliano. " Kumbe huyu malaya ni mwizi. Badae aliona simu ya hotel kwaajili ya mawasiliano alienda kuchukua ili apige aombe msaada lakini aligundua simu ilikuwa mbovu. " Shiiit hii nini , hiki kilichomkuta ni nini? Jenipha alifika mpaka walipopanga wakutane na Jimmy alimkuta Jimmy kasimama pembeni ya pikipiki yake huku akiwa anavuta sigara. " Dereva simama hapo aliposimama huyo kaka anayevuta sigara. Dereva taxi alifuata maagizo ya Jenipha alisimamisha gari , Jenipha alishuka na
0 Comments