
Nilimuacha Junior kwa jiran nikamuimba na Michael akirud ameangalie nikakimbia hadi.hospitali nilipofika nikaambiwa Dick yupo ICU. Uwii nini hiki,nilikaa pale mpaka jion nikasema nikawone wanangu. Ikabidi nikae nao usiku maana sikua na ndugu wakumuamin na watoto wangu. Kesho yake asubuh nilipigiwa simu na namba ngeni akajitambulisha kuwa anaitwa Marry nidada wa Dickson nilijisikia faraja kidogo maana ndio yule Marry aliekua anakuja na Dickson kipindi kile kunifata shuleni na Dickson aliniambia ndio ndugu pekee anathamin. Alitaka kuja Tanga kusaidiana na mimi maana alipata taarifa kuwa Dick kapata ajali. Basi alikuja akawa ananisaidia kukaa na watoto mimi naenda kumuangalia Dick wangu,Zilipita wiki
0 Comments