
Lucy nani asiempenda such a caring woman like you(mwanamke anaejali Kama wewe). Hata kama tulikorofishana na huenda hatukuelewana Ila niamin wewe ndio mwanamke niliekupenda sana,kumbuka wewe ndio ulinikosea huenda usingenikosea sasa hivi tungeongea mambo mengine,akasema. Naomba uniache na ndoa yangu,uniache na mume wangu plz sihitaji MTU mwingine kwenye maisha yangu zaidi ya Dick. Nikawa naendelea kupika ,nikawa natafuta hotpot ili nimuwekee mume wangu chakula narudi namkuta Dick anaweka vitu Kama unga kwenye chakula cha mume wangu. Aliponiona alishtuka. Unafanya nn nilimuuliza. Amna akanijibu kwa saut ya uoga flan ivi. Samahan naomba unisaidie kuonja hichi chakula maana ulimi wangu hausikii ladha
0 Comments