KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO EPS 21

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO  EPS 21

Ilipoishia eps 20 Siku moja nikiwa nipo kazin nilipigiwa simu na namba mgeni ikaniambia kuwa Dude kalazwa maunt Meru hospital. Songa nayo................ Niliomba ruhusa kazin niende kumuona Dude baada ya kupata ruhusa nikampigia jiran yetu mmoja aniangalizie Michael akitoka shule maana alishaanza kusoma kisha nikachukua teksi mpaka mount Meru hospital niliuliza alipo Dude nikaambiwa ameshapelekwa mochwari maana alipata ajali mbaya Sana na aliumia vibaya na kupelekea kifo chake. Sikuamin maneno niliyoambiwa nikahisi wananitania na kutaka kumuona Dude jaman nilipelekwa hadi Mochwari jaman aliumia vibaya mno. Nilijikuta nalia kwa nguvu mpaka nikazimia nilishtuka kwenye saa mbili usiku nikakurupuka na kuanza kukumbia.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments