KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO EPS 20

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO  EPS 20

Ilipoishia eps 19 Wakati naondoka hakutaka hata kuniangalia. Tukatoka na taksi mpaka chalinze maana Dude alinambia kuwa tukipandia ubongo kunauwezekano tukawa tunasakwa,basi tukapanda gari kutoka chalinze mpaka mkoan Arusha na wakat wote nilikua na wasiliana na Dick mpaka nafika. Songa nayo.................. Tulifikia kwenye nyumba moja ilikuwa n room moja Dude akaniacha nilale yeye akatafuta lodge akalala. Sikujua n kwa nn Dude alinisaidia vile na wakat wote niliogopa kumuhoj kwa kuhofia asije akakataa kunisaidia. Kesho yake alikuja pale aliponiacha tulipika tukala tukaanza kupiga story katika story nikagusia kwa nn kaamua kujitoa muhanga kwa ajili yangu akatabasam kisha akanambia Ina maana Lucy

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments