LOVE BEHIND HER BACK 15

LOVE BEHIND HER BACK 15

Basi tukachekaa mi nacheka tu kumsapoti, Ila asichokijua Moss kosa kubwa sana alilolifanya ni kuniletea story za Shemu hapa aisee kafanya kosa kubwa sana kwa sababu.. Gafla tu nilijukuta moyo wangu unalipuka sanaa yaani kidogo puh kidogo pu, nahisi kama kuna kitu hakipo sawa nikifikiria shida niniit, nakutana na jina la shemu kati kati ya moyo wangu yaani ni kama alinitonesha kidonda, nina uhakika kabisa huenda shemu hanipendi wala mimi simpendi lakini namuwaza sanaa natamani hata ile harufu yake tuvile alinikumbatia ile siku nimeenda kwake yaani mpaka leo bado nahisi lile joto maana ndo ilikuwa moment tamu ya mwisho Basi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments