
Yaani nyie mapenzi! Mapenzi ni kitu cha kustaajabisha sana, unaweza usinielewe okay sio lazima unielewe sikuu ukikutana na hali kama yangu utanikumbuka naitwa subira niliepagawishwa na penzi la shemeji yangu wa udugu wangu kabisaa . Nikajitupia kitandani huku bado nimeikumbatia simu nachekaa mwenyew nasikia rahaaa ile homa niliyokuwa nasikia mchana hata sijuu ilipotelewa wapi, Jamani nilichangamka mimi, kuongea sasa eeh mpaka mama akaniuliza kwani umekunywa dawa??. Maana sio kuongea kule kila story naletaa yaani niliikuwa nalopoka kucheka sasa eeh hata havichekeshi mimi nacheka mpaka naboaa jamani . Kama saa moja hili lilipita frank akanipigia simu, nikaenda chumbani kupokelea, akanambia namtuma
0 Comments