
HAPO nilikuwa hata siwasiliani na muhuni wangu nikaona adhari hanitafuti kwanza, wiki moja ikapita sijaonana na shem zaidi ya kuchart na kuongea na simu muda wote, huduma zote ananipa japo nakula nyumbani lakini hela yangu ilikuwa juu yake .. Mama alikuwa anapiga vita hili penzi kama alipwa vile .. dada angu alikuwa wa kwanza kuniunga mkono Basi wiki hiyo frank akanambia nilitaka kutafuta watu ili waje kwenu nifunge kifungo kati kati yetu, nikamwambia weee unakuja kunichumbia akasema kukuposa kabisaa aloo nilifurahi mnooo ... Wakati naongea na frank kwa simu, nikasikia mama ananiita nje kwa karaha kweli "wee subiii embu njoo
0 Comments