MOYO ULIOTUMIKA 09

MOYO ULIOTUMIKA 09

SEHEMU YA 09 Nilianza kupiga kelele nikijua mwisho wangu umefika poor me.....dreva tax wala hakunizingatia aliendelea kuongeza mwendo. Alifika mahali akafunga breki, alishuka kisha akanisihi nishuke pia....nilimtukana matusi yote mnayoyajua lakini yeye hakufurukuta, nilivyoona ni jeuri nilianza kumpiga na pochi lakini alitulia tuli "Kwanini unanisimamisha kwenye geti la watu....nilikupa maelekezo naenda mtaa wa majengo B, why umenileta mitaa ya Kishua" Nilifoka nikizidisha kumpiga.... "Hupendezei hata kidogo kwa matendo unayofanya...." Sauti ya Ali ilisikika Niligeuka nyuma kwa haraka, sijui alifungua geti saa ngapi lakini alinitaka niingie ndani. Dreva tax alisepa baada ya kulipwa pesa yake "Karibu ndani...." Ali alirudia kunikaribisha "Unataka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments