MOYO ULIOTUMIKA 10

MOYO ULIOTUMIKA 10

Nilikunja ngumi nikiwa mwenye hasira, manyunyu ya mvua yalianza kunidondokea nikiwa nimesimama. Nilishtukia nimefunikwa na mwamvuli....niligeuka kwa haraka nione mtu aliyetenda wema. Nilisikia hasira baada ya kumuona Jabir "Sadie.....sijui niseme nini lakini ahsante kwa kunilipia ada. Nimeajiriwa kama Mwanasheria wa Serikali kwa sababu yako....namiliki sheli, bar, supermarket, hotel na kiwanda cha kutengeneza mikate. Kama si Laura sidhani kama ningeitwa Mwanasheria wa Serikali..... nimekaa na familia yangu tukashauriana uwe Kimada wangu wa siri....kama upo tayari nitumie ujumbe nitakujeng...." Kabla Jabir hajamaliza maneno yake niliondoka bila kujali mvua inanilowanisha.. Maneno yake yalikuwa ni ya kipuuzi sana.....kwa kipindi chote sikuwahi kufikiria kama Baba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments