MREMBO KIPOFU 16

MREMBO KIPOFU 16

Jirani yangu alianza kuwa ananiuliza et naenda kwa mganga gani nae nimsaidie, nilimwambia mie sina mganga hata namuomba tu Mungu labda ndio wakati wangu huu. Akawa anasema, "Yaan we Bianca ni mzuri sana, unashepu nzuri, sura nzuri, ukicheka unapendeza ndio maana hata watu wanagombania maandazi yako, lakini sie tuliosusiwa maumbo na sura za baba mmmh." Yaan alikuwa mtu wa kulalamika sana, kila mara analalamika. Nikawa nimemwambia aongeze kilo afu nitakuwa namtembezea, kweli mana alikuwa anajitilisha huruma sana. Nilianza kubeba na biashara yake na nina maliza, ushoga sasa ndo ulikubali. Yaani alikuwa ananipenda mpka basi, akawa haniletei tena chakula tunakula wote

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments