MREMBO KIPOFU 19

MREMBO KIPOFU 19

Sadru alinisogelea bila hata kuuliza wala kusema neno, alinipiga ile deeply kiss. Aisee nilishindwa kumsukuma, nikashindwa kumzuia, siwezi kusema lolote nilimuachia ndimi yangu aifanye anavyotaka sana. Nilifumba tu macho nikaacha. Sadru alitumia zaidi ya dakika akizunguka tu kinywa changu. "Bianca mi sio kaka ako, mpaka hapa utakuwa umenielewa," alinambia bila hata kusubiri jibu langu. Aliondoka, hata uwezo wa kumpa jibu nilikuwa nao sasa?? Kumjibu nawezaa?? Mwili wote ulikuwa unatetemeka ajabu, sikuwa na hasira ya alichokifanya zaidi ya kutamani aendelee tu. Nilinaki nimeganda vile wima zaidi ya nusu saa, mpaka akili ikarudi sawa hapo nikajishtua na kibao cha uso. "Mungu wangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments