MREMBO KIPOFU 21

MREMBO KIPOFU 21

Sadru..." niliita kwa hamaki nikiwa siamini kama kweli huyu ni Sadru. Nikaanza kurudi kwa kasi yaani nilikimbia kama vile mguu unavunjika jamani. "Bianca taratibu we bado mgonjwa," alinipokea akanibeba juu jamani ni yeye ni yeye Sadru Mungu wangu huyu kaka ni Sadru, nilipomuona moyo wangu ulidunda kwa kasi sana kwa uzuri wake wa ajabu afu kumbe ndiye huyu huyu niliyekuwa namtafuta Sadru. "Mungu wangu, Unaniona sasa?? Unaniona hapa Bianca?" "Ni wewe?? Ndiye wewe Sadru?? Ni wewe kweli?" "Yes! Ndiye mimi ni mimi Bianca umeona unaweza kutembea bila fimbo kweli?" "Mungu wangu!" Alinikiss karibu kila kona hapo tupo pembeni tu ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments