MREMBO KIPOFU 22

MREMBO KIPOFU 22

Sijui hata nimlipe nini Sadru wangu huyu, niliapa kumpenda na kumnyenyekea kipindi chote cha uhai wangu yaani hata kama atakuja kubadilika baadaye naapa sintampa mgongo bado nitampa upendo ule ule sana nitauzidisha tu yeye ni mtu wa thamani sana sana sana kwangu. Sadru aliniuliza kuna kitu gani unatamani kufanya yaani kuna kitu unataka kufanya niambie chochote niambie popote unapotaka kwenda? Nilimwambia naomba niende Arusha japo miaka mingi sana imepita nataka kwenda huko pale nilikuwa naishi na bibi yangu nataka kwenda huko sijui naenda kufanyaje lakini nataka tu kufika huko. Tulilala siku mbili pale siku ya tatu Sadru aliniambia tayari tuondoke

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments