MREMBO KIPOFU 24

MREMBO KIPOFU 24

Nilifuta tu kile kinywaji huku natabasam sikuwa hata na shida mie, Sadru alichukua kitambaa cha mkononi akanifuta taratibu asije haribu make up, watu nao wakashikwa taharuki yaani hapo naona aibu lakini kajikaza mana kuigiza mbele za watu kipaji. "Nini kinaendelea Sadru?" mama yake alifika pale mbele. "Namuoa Bianca na sio Manka." "Kwanini Bianca na kwanini ghafla sana hivi?" "Utamwambia mama au mimi nimwambie?" Sadru alimuuliza Manka uso wake umeckwiva kwa hasira. "Jamani wageni wetu, kuna sintofahamu imetokea tulikuwa tunaomba radhi mpaka tutakapowaita tena ila kwa sasa hakuna tena sherehe," mama alisema kupitia kipaza sauti Sadru akakiwahi akampokonya mama yake yaani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments