NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 154 & 155

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 154 & 155

Basi bwana , kesho yake asubuh na mapema sana ,nollan akanipigia simu. Akanmbia ndo naanza safari nakuja na mama dodoma , nikasema sawa, basi bibi mie nikaenda kumuandalia kwanza chumba, nikabadili mashuka, nikaweka mashuka ya maana. Tena ya bei. Nikamsafishia kabati ,na nikachukua madera yangu ya bei ambayo nilikuwa sijawahi kuyavaa kabisaa, yani mapya kabisaa nikampangia kwenye kabati na vitenge kabisaa, nikamdekia nikamsafishia na choo vizuri, nikapuliza na diffuser kunukie, sio kwamba kulikuwa kuchafu hapana, ila nilijistukia mwenzenu, mana mma mkwe mwenyewe namjua ni mashauzi mnoo , basi bwana niliponaliza kufanya usafi, nikamuita maya. Uyu maya ndo dada anayenisaidia kazi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments