NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 157

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 157

Basi nimefika home, namkuta mama mkwe anakunywa juice. Kapiga nne hana habari anaangalia tv. Nikamsalimia ,wala ata hakuitukia, basi mie moja kwa moja mpaka chumbani, nikaenda kumlaza g mana alikuwa amelala, kisha nikatoka nikarudi sasa, nikapita chumbani kwa maya, nikamkuta yupo zake kitandanj kalal, nikamuamsha kwa nguvu, nikamwambia we maya unalala na haujapika, mama anapiga simu njaaa ina muuma, we una akiri kweli, alafu iyo funguo ya fridge imeenda wapi, akasema jamani, mboana funguo ipo pale, alafu mm nilitaka kupika dada, mama ndo kakaataa chakura changu, kanambia nisipike , mie sijuh anakungoja ww, dooooh, nikasema sawa hakuna shida, basi mie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments