
Nikaanzaa kulia pale chini, nollan akanmbia sitaki ulir sitaki ulie nase, hujui kama uyu ni mkubwa kwako, hujui nase, kwa nn unamwambia maam yangu et anaondoka lini umemchoka unajitambua nase unajitambua ww, nikasema.nisamehe mume wangu, nollanakanmbia ww hunijuh vizuri nazani na utanijua mm nikoje, akanishika mkono, akanivuta nakwambia mpaka chumbani, tumefika akanisukukma chini, akavua mkanda wake ,akanzaaa kunitandika nao, nilipiga kelele kama chizi, alinipigia mm, nilipigwaaa, yani mpaka tumemuamsha mtoto, mtoto kakaa kitamdani anaangalia napigwa mpaka analia, ila nollan hasira zishamjaa, alinikunyugaaa mpka akanichana na ule mkono maeneo ya mkononi, nikawa nimechubuka kabisa na damu inatoka ndo akaniacha, akanmbia sasa
0 Comments