NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 160

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 160

Bas mie nikawa nimetulia tu pale, apoo nilibeba nguo chache kwa ajili ya mtoto, na uzuri mwanangu hakuwa ana kula zaid ya kunyonya, ila ata mie mwenyewe sikuwa nakula sna ata ,yani sikuwa nakula sana, basi nikawa nimetulia na mwanangu, namnyonyesha uku nacheza game, nikasikia mlango unagingwa nikajua ni muhudumu, nikaenda kufungua bila ya shaka ,nyieee nilistuka si namuona nollan, yani sikuelewa ata kafikaje uyu baba, yani ile najiuliza yeye akwa kuingia ndani, nikajikuta natmani kupasuka, ila nikatulia tu, akaenda kukaa kitandani, ni kapoa mnoo, yani kama sio teye aliyenidunda ile siku, mie nikamuuli,a umekuja kufata nn, au umekuja kuniua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments