PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 12

PENZI LA JIRANI  SEHEMU YA : 12

nikamuuliza “umepewa na nani??” Derek akajibu” kuna kaka kaja nje apo akanambia nikupe!” Nikashangaa “mkaka gani??” Yupoje???”😳 “sijaona sura yake vizuri ila ni mrefu kajazia jazia!” Pale pale nikajua laziima ni Rex, Nikamgeukia Naila nikamuambia “ni Rex!” Naila akaruka haraka akaenda kuchungulia dirishani hakuona mtu. “kajuaje upo hapa???” “mimi sijui???” “na humo kwenye mfuko kuna nini? Au bomu?” Aliposema vile nikatupa ule mfuko pembeni kwa uoga basi Naila akacheka sana, mbavu hana! “mbona umetupa pembeni? Mimi natania!” “mbali ya utani yawezekana kweli kuna bomu!” “anaweza kuwa muuaji ndio ila sidhani kama atataka kukuua wewe!” Nikauliza “kwanini??” “inaonekana jamaa kashakupenda!”😁 Naila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments