
Jeshi yake Chriss aliamka mapema akaingia jikoni na kuandaa kifungua kinywa. Jimmy alipotoka chumbani kwake alienda jikoni akamkuta Chriss yupo Bize jiko lote lilijaa unga na viombo kila kona. Alisimama mlangoni akamuangalia huku anatabasamu na kutingisha kichwa. Baada ya muda Chriss alimuona. " Habari za asubuhi! " Salama, naona uko Bize kaka kwani leo imekuwaje mpaka ukaingia jikoni mwenyewe? Au ulilala bila kula usiku? " Hapana nafanya yote haya sababu ya Viana si unajua vile ninavyoteseka moyo wangu kwaajili yake. " Unamaanisha unachokisema? " Ndio nampenda sana Viana natamani akubali nimpeoeke kwa wazazi wangu . Jimmy alimshika begani akasema. "
0 Comments