VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA KUMI NA TATU

VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA KUMI NA TATU

Mapigo ya moyo wa Viana yakienda kwa kasi alitamani kutoka lakini alishindwa wakati huo maji yalikuwa wakiondoka kutoka kwenye nywele za Chriss na harufu nzuri ya sabuni ya lavenda ulimvutia Viana kwa namna ya kipekee. Wakati huo Chriss alikuwa akafunga macho yake kwa hisia huku akipapasa Viana mgongoni na kumfanya Viana ajitulize. " Viana nimezama kwenye penzi lako , nimeshawahi kuwa na wanawake wengi sana lakini hisia zangu kwako ni za tofauti . Hivi unajua tangia siku niliyokuona nikitokea sana kuvutiwa na wewe na nilipomuona kwa mara ya pili niliona kama ni bahati yangu sema ujana uoinizidi na sasa nimeamua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments