VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA NANE

VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA NANE

Chriss aliendelea kusimama mlangoni akiwa anawaangalia Viana na Jimmy wanavyomcheka. Viana alijaribu kujikaza kucheka lakini alishindwa alicheka mpaka machozi yalitoka , Jimmy nae alishika tumbo huku akicheka haswa. " Aisee bro leo umetoa kali ya mwaka kwani huyo fashion yako mpya mbunifu wako ni nani? Chriss alipiga hatua kwa upole huku akiwa kaashikilia suruali yake kubwa akaenda kukaa kwenye kochi. " Wewe Jimmy na Viana mbacheka mnaniona kama kituko si ndio? " Hapana bro hatukucheki ila tunacheza jinsi ulivyo yani ni kama muigizaji wa movie flani. Viana alizidi kucheka na kumfanya Chriss amkazue macho na kusema. " Viana unajua kila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments