VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA KUMI NA NNE

VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA KUMI NA NNE

Baada ya miezi kusogea wazazi wa Chriss walienda Tanzani kushuhudia ndoa ya Viana na Chriss. Ilikuwa ni harusi na sherehe kubwa sana habari zilisambaa kila kona ya dunia . Baada ya sherehe kuisha Viana na Chriss walienda kulala hotelini na ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa Viana kukutana na mwanaume . Chriss aliposhuhudia zone la damu kwenye shuka nyeupe ndipo aliamini kile alichokiongea Viana kipindi cha nyuma. Chriss alimuangalia Viana kisha akamkumbatia kwa upendo mkubwa sana. " Hongera sana mpenzi nazidi kuamini kuwa nimepata mama bora wa familia yangu. Kama mke basi nimepata mke bora ambae atakuwa kiongozi bora wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments