
Mwandishi:lissa mwalla Davis alikua anatetemeka sikuamin, hiv nimekua mjings kiasi hiki mm kweli? Nimetembea na mtu muda wote huu kumbe kaoa? Nilikasirika msna davis hasemi anajiuma uma, nilisimama nikachukua pochi yangu na kuanza kuondoka, nililelewa kizungu mambo ya matusu sijui ngumi akaaa, mkew akasema ondoka ndio tena nikija kukukuta tena na mme wangu nitakachokufanya utajuta. Nilitoka had nje nikiwa nimekasirika sana, nilichukua tax had kwa mai mana ndiko naishi na kod tunalipa nusu nusu hivo ni kwangu pia. Nilifika sikumkuta mai, nikaingia bafuni nikilia huku najiona mjinga sana, hiv kwa nn hiv mm? Nina mkosi gani na wanaume mm? Daaah
0 Comments