
Mwandishi:lissa mwalla Sikumjal nilikua anaumia na yuko mpweke ndio kwanza nikakaa, akanitizama akasema we dem vip? Nikasema mm nimezaliwa msichana pekee kwetu baba yangu alikua ananitenga sana sababu mm ni mwanamke akasema siwez kuwa na maisha, wenzangu walipewa kula kitu na kupongezwa kika kizur walichofanya lkn mm nilipuuzwa, niliishi kufanya vitu kumfurahisha babangu lkn babangu hakuwahi furahishwa na mm,nilikua najiskia vibaya sana na nikaja kukosea kidogo kosa la kibinadam nikafukuzwa nyumban kama mbwa nilikua mpweke sana dash hivo najua unavojiskia na ndio mana umekaa huku peke ako sa iv unaumia sana najua hivo hata ukinifukuza siondoki nitabaki hapa na ww.alinitizama
0 Comments