
Mwandishi:lissa mwalla Nikikosa poz mara akasimana kwa mbele akafungua mlango wa mbeke kwa abiria nikatabasam na kukimbilia kupanda, nikasema asante akaniangalia akasema siku ingine usije na maboya huku fala ww,nikacheka tu,akasema mm kuna mahal napitia na nina mizunguko kibao hivo jana unaharaka zako kuwa mpole,nikasema wala hata sina haraka,akasema poa,tulitembea kuna mahal ni hotel akashuka akasema nakuja nikasema poa aliingia akakaa kidogo akatoka na kifungashio alikua na vidude fln vitam vya kula na baga nilikua navipenda sana alitia kimoja akaanza kula mm namtizama tu natamab mate yananijaa,alinitizama akasema chukua usije nimeza,nikacheka nikachukua,alitembea mpaja sehem fln kuna kama paking magar mengii
0 Comments