YATANIUA Sehemu ya 14

YATANIUA Sehemu ya 14

Mwandishi:lissa mwalla Mzee akasema mbn una haraka sana ww? Mm nilikua nakuhitaji umefika shida nn? Dash akasema sina cha kuongea na ww kama sijamuona mwanamke hapa, mzee akasema kwanza kubali kuendelea na kazi na mm, Dash akasema naona sieleweki mzee namtaka mwanamke hapa sasa hiv. Mzee akasema mleteni, walikuja nifata nimefungwa kamba lkn kitendo cha kutokea pale nje wale wakaka walikabwa kuchek n pj na mai nililia mno, pj akasema uko powa? Nikasema ndio niko poa akasema okay mai nenda nae nje si inajua njia? Mai akasema ndio Akanikumbatia nae macho yamemvimba ni waz alikua analia sana. Tulitoka hafi nje

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments