YAYA WA MOYO WANGU 9&10

YAYA WA MOYO WANGU 9&10

SEHEMU YA 9 “Delilah unaweza kwenda nikihitaji msaada wako nitakuita” Merrick alijitahidi kuongea kwa upole ila ndani alichemka kwa hasira hakuwahi kuwaza kama siku moja atakuja kutokea mtu wa kumuhoji maswali kama hayo asilimia kubwa ya wafanyakazi wake wanamuogopa sana hawawezi hata kumuangalia usoni kwa sekunde mbili sio kwamba ana sura ya kutisha ni handsome kupitiliza lakini ukali wake na kutokupenda kwake mzaha kwenye kazi kuliwafanya wamuogope sana “Sawa boss ukiwa na shida yoyote wewe nyanyuka tu simu yako na huyu mfanyakazi wako mtiifu atakuwa mbele yako” Delilah aliongea huku anatabasamu kisha akaondoka David alianza kucheka tena kwa mara nyingine

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments