BESTFRIEND 03

BESTFRIEND 03

BESTFRIEND MWANDISHI: Chieff Stories MAWASILIANO: 0621045997 SEHEMU YA 03 Siku iliyofuata nilifika chuoni mapema kuliko kawaida. Tangu jana, nilikuwa bado najiuliza Reina alitaka kuniambia nini. Nilimjua vizuri sana, na nilijua kama angekuwa anataka kuniambia jambo la kawaida, asingesema tuongee kesho. Nilipofika, nilimkuta amekaa kwenye sehemu yetu. Alikuwa kimya, akichezea simu yake huku mara kwa mara akiinua macho na kuwaangalia watu waliokuwa wakipita. Nilimsogelea na kukaa pembeni yake. “Basi leo utanambia lile jambo lako?” Alinitazama kisha akatabasamu kidogo. “Ndiyo.” “Nilijua tu. Jana uliondoka ukaniacha na maswali.” Alivuta pumzi ndefu, kisha akaniangalia usoni. “Allan, kuna kitu nataka kukuambia.” “Hebu sema.” Alikaa kimya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments