THE LOVE HE NEVER PLANNED 18

THE LOVE HE NEVER PLANNED 18

THE LOVE HE NEVER PLANNED Mwandishi: Chieff Stories Mawasiliano: 0621045997 SEHEMU YA 18 Siku iliyofuata majira ya mchana, Jonathan aliamua kufanya safari ya ghafla kuelekea nyumbani kwa rafiki yake kipenzi, Leon, bila kumpa taarifa yoyote kabla. Alipowawasili kwenye mjengo ule wa kifahari wa ghorofa uliopo maeneo ya kitajiri, alikaribishwa kwa uchangamfu na wazazi wa Leon waliokuwa wameketi sebuleni wakipata vinywaji. Baada ya kuwasalimia kwa heshima zote na kubadilishana nao maneno machache ya kistaarabu, mama yake Leon alimjulisha kuwa mwanao alikuwa bado yuko chumbani kwake tangu asubuhi. Jonathan alitabasamu na kupanda ngazi za ghorofa kwa kasi, akaelekea moja kwa moja hadi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments