THE LOVE HE NEVER PLANNED 19

THE LOVE HE NEVER PLANNED 19

THE LOVE HE NEVER PLANNED Mwandishi: Chieff Stories Mawasiliano: 0621045997 SEHEMU YA 19 Usiku ule uliofuata kuondoka kwa Jonathan ulikuwa wa mateso na mtihani mkubwa kwa Leon. Hali ya hewa ndani ya chumba chake kikubwa cha kifahari ilikuwa nzito, ya upweke, na iliyojaa mtafaruko mzito wa kifikra. Kadiri masaa yalivyozidi kwenda na kimya cha usiku wa manane kikitawala, ndivyo mawazo ya Leon yalivyozidi kumwangukia Nadia bila huruma wala breki yoyote. Alijitahidi kwa kila njia inayowezekana kukwepa wimbi lile zito; alijaribu kusoma vitabu vizito vya kitaaluma ili kuhamisha akili, akawasha televisheni na kuangalia filamu za kusisimua, na hata kujilazimisha kufumba macho

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments