THE LOVE HE NEVER PLANNED 20

THE LOVE HE NEVER PLANNED 20

THE LOVE HE NEVER PLANNED Mwandishi: Chieff Stories Mawasiliano: 0621045997 SEHEMU YA 20 Hata hivyo, baada ya kufikia uamuzi huo wa kulegeza kamba, swali gumu lilisalia kichwani mwake: Alianzaje huo ukaribu na msichana ambaye hata hakuwa wa hadhi yake, lakini alikuwa akimwendesha kihisia kwa staili ya kipekee? Alitafakari kwa kina kirefu huku akigeuka huku na kule kitandani, akitafuta mbinu sahihi itakayomfanya asionekana kama anajipendekeza, huku akilinda heshima yake. Ghafla, alitabasamu kidogo na kutikisa kichwa chake kwa nguvu kuashiria kuwa amepata wazo thabiti la nini cha kufanya. Baada ya kupata suluhisho hilo la kijanja, alitulia na kupata usingizi mzito uliotawaliwa na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments