FALLING FOR MAID 06

FALLING FOR MAID 06

FALLING FOR MAID SEHEMU YA 06 Nilijikuta najilaumu sana, kwa maana nimedanganywa muda wote huo, kumbe mwanaume ambaye nilikuwa nampenda alikuwa Rethmass, ila kwa kuwa nilimkashfu siku ya kwanza ndiyo maana akanidanganya jina lake. Nilikuwa najiona kama mpuuzi fulani hivi, nilikuwa najiona kama mjinga sana, nikajikuta naanza kumchukia sana, kwa maana zile tabia zote ambazo nimeziona kwa Julius ndiyo tabia za Rethmass, nikijua Julius ni mtu mwingine tena mwanaume wa kitofauti kumbe ni mpuuzi Rethmass. Basi nikamaliza majukumu yangu, kisha nikarudi zangu shamba, kwa maana ndipo ninapoishi, ila nimefika tu kule shamba nikakutana na harufu fulani nzuri sana, na kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments