NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 109 na 110

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 109 na 110

🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈 Basi asubuh na mapema, aggy aliomba namba ya nollan nilimpatia ,kisha akanmbia we endelea kupumzika, akanipa na elfu 2. Akambia ukijisikia njaa uataangalia cha kukila basi kipenzi kuponza nhaaa ,mi mwenyewe ata sielewi kabisa, nikasema aggy wala usijalia kuwa na amani kabisa, mi sina shida mbona, akanmbia sawa basi baadae nikasema sawa, mie nikajilalaliza zangu, bado mawazo yalikuwa mengi, nilikuwa simani kama nimetengana na nollan wangu, nilikuwa nalia mnoo, mana mm nampenda sana nollan , yan sanaaa, nikikumbuka wema wake toka day one ananijua ndo nazidi kuumia , nyiee mapenzi ayaa yanauma mnoii, ila sasa nafanyaje, nikabaki kuomba tu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments